Vyuo vyatakiwa kuwaandaa wahitimu kujiajiri
newsare.net
Mkuu wa wilaya ya Geita, Fadhil Juma amewataka wamiliki wa vyuo vya elimu na mafunzo vilivyopo katika wilaya hiyo kutoa elimu ya kumuandaa mhitimu kujiajiri na sio kuajiriwa.Vyuo vyatakiwa kuwaandaa wahitimu kujiajiri
Mkuu wa wilaya ya Geita, Fadhil Juma amewataka wamiliki wa vyuo vya elimu na mafunzo vilivyopo katika wilaya hiyo kutoa elimu ya kumuandaa mhitimu kujiajiri na sio kuajiriwa. Read more