Wapinzani watoa ya moyoni hotuba ya Rais Magufuli bungeni
newsare.net
Hotuba ya Rais John Magufuli wakati akizindua Bunge la 12, inaweza kuwa ilijaa maelezo ya kina kuhusu mipango ya Serikali yake katika miaka mitano ijayo, lakini sifa alizoipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zimepingwa na viongozi wa vyama vya siasa.Wapinzani watoa ya moyoni hotuba ya Rais Magufuli bungeni
Hotuba ya Rais John Magufuli wakati akizindua Bunge la 12, inaweza kuwa ilijaa maelezo ya kina kuhusu mipango ya Serikali yake katika miaka mitano ijayo, lakini sifa alizoipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zimepingwa na viongozi wa vyama vya siasa. Read more