Mapya yaibuka kifo cha mwandishi wa habari
newsare.net
Klabu ya Waandishi wa Habari ya Kilimanjaro (MECKI) imelitaka Jeshi la polisi kuchunguza kwa weledi sababu za kifo cha mwanahabari wa kituo cha redio cha Kili FM, Benedict Kuzwa ili kuondoa wingu zito lililogubika tukio hilo.Mapya yaibuka kifo cha mwandishi wa habari
Klabu ya Waandishi wa Habari ya Kilimanjaro (MECKI) imelitaka Jeshi la polisi kuchunguza kwa weledi sababu za kifo cha mwanahabari wa kituo cha redio cha Kili FM, Benedict Kuzwa ili kuondoa wingu zito lililogubika tukio hilo. Read more