Usafiri wa abiria kwa kasi zaidi wajaribiwa
newsare.net
Usafiri wa haraka zaidi wa abiria umefanyiwa majaribio kwa mara ya kwanza na kuonyesha mafanikio leo Jumapili katika jangwa la Nevada, ukilenga kusafirisha abiria kwa kasi ya kilometa 1,080 kwa saa.Usafiri wa abiria kwa kasi zaidi wajaribiwa
Usafiri wa haraka zaidi wa abiria umefanyiwa majaribio kwa mara ya kwanza na kuonyesha mafanikio leo Jumapili katika jangwa la Nevada, ukilenga kusafirisha abiria kwa kasi ya kilometa 1,080 kwa saa. Read more