Tanzania

Mwakinyo sasa ni ubingwa wa dunia

Mashabiki wa ngumi za kulipwa nchini Ijumaa Novemba 13,2020 walishuhudia mapinduzi makubwa katika mchezo wa ngumi za kulipwa kwa kufanyika pambano la kwanza la limataifa kwenye ukumbi wa kisasa wa Next Door Arena, Oysterbay.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Serikali yaeleza chanzo maji kutotosha Dodoma

Katibu mkuu wa Wizara ya Maji, Anthony Sanga amesema upungufu wa maji jijini hapa unatokana na ongezeko kubwa la watu kulinganisha na uzalishaji wa huduma hiyo.

Corona bado tishio, vifo vyake vyafikia milioni 1.3 duniani kote

Wakati matumaini ya chanjo ya virusi vya corona yakizidi kuongezeka, ugonjwa unaosababishwa na virusi hivyo, sasa umeua zaidi ya watu milioni 1.3, kwa mujibu wa takwimu rasmi zilizokusanywa na AFP.

Usafiri wa abiria kwa kasi zaidi wajaribiwa

Usafiri wa haraka zaidi wa abiria umefanyiwa majaribio kwa mara ya kwanza na kuonyesha mafanikio leo Jumapili katika jangwa la Nevada, ukilenga kusafirisha abiria kwa kasi ya kilometa 1,080 kwa saa.

Gumzo Biden naye kuwa na asili ya India

Ikiwa tayari inajivunia asili ya Kamala Harris, India sasa imeanza kuchunguza uwezekano wa rais- mteule wa Marekani, Joe Biden kuwa na asili ya nchi hiyo ya barani Asia.

Makombora ya Tigray yatua Eritrea, viwanja vya ndege

Makombora kutoka Jimbo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia yanadaiwa kutua katika nchi jirani ya Eritrea, wanadiplomasia wamesema, hali inayoashiria kuwa mgogoro huo sasa unavuka mipaka ya nchi.

Mapya yaibuka kifo cha mwandishi wa habari

Klabu ya Waandishi wa Habari ya Kilimanjaro (MECKI) imelitaka Jeshi la polisi kuchunguza kwa weledi sababu za kifo cha mwanahabari wa kituo cha redio cha Kili FM, Benedict Kuzwa ili kuondoa wingu zito lililogubika tukio hilo.

Wapinzani watoa ya moyoni hotuba ya Rais Magufuli bungeni

Hotuba ya Rais John Magufuli wakati akizindua Bunge la 12, inaweza kuwa ilijaa maelezo ya kina kuhusu mipango ya Serikali yake katika miaka mitano ijayo, lakini sifa alizoipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zimepingwa na viongozi wa vyama vya siasa.

Moto uliowashwa na mama waua mtoto

Tukio hilo ambalo limeacha simanzi na majonzi makubwa katika Kijiji cha Kyou wilayani hapa Mkoa wa Kilimanjaro, lilitokea saa 7 usiku wa kuamkia jana.

Watu 32,899 wamepoteza maisha katika ajali nchini Tanzania

Kuanzia mwaka 2010 hadi Oktoba, 2020 nchini Tanzania zimetokea ajali za barabarani 142,140 na kusababisha vifo vya watu 32,899 huku 129,064 wakijeruhiwa.

Vyuo vyatakiwa kuwaandaa wahitimu kujiajiri

Mkuu wa wilaya ya Geita,  Fadhil Juma amewataka wamiliki wa vyuo vya elimu na mafunzo  vilivyopo katika wilaya hiyo kutoa elimu ya kumuandaa mhitimu kujiajiri na sio kuajiriwa.

Jinsi Takukuru ilivyookoa Sh12 bilioni ujenzi stendi ya mabasi Dar

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema imefanikiwa kudhibiti Sh12 bilioni ambazo zingelipwa kwa makosa katika mradi wa stendi mpya ya mabasi Dar es Salaam.  

Wakazi Dar waeleza sababu kujitokea upimaji bure wa afya

Ikilinganishwa na siku mbili za mwanzo za kambi ya kupima magonjwa hayo, leo Jumamosi Novemba 14, 2020 ikiwa ndio kilele, wengi wamefika wakihitaji kujua afya zao hasa wakipima magonjwa ya kisukari, moyo, figo na saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake.  

Stars ngoma bado ngumu

Baada ya jana timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kupoteza mchezo wa raundi ya tatu kuwania kufuzu kombe la mataifa ya Afika (AFCON) dhidi ya Tunisia Ugenini kwa kufungwa bao 1-0, timu hiyo inatarajia kurejea bongo kujiandaa na mchezo wa marudiano utakaop
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Stars ngoma bado ngumu

Baada ya jana timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kupoteza mchezo wa raundi ya tatu kuwania kufuzu kombe la mataifa ya Afika (AFCON) dhidi ya Tunisia Ugenini kwa kufungwa bao 1-0, timu hiyo inatarajia kurejea bongo kujiandaa na mchezo wa marudiano utakaopigwa Novemba 17 dhidi ya Tunisia hao hao.

ACT-Wazalendo wadai wanachama wao waliotoweka wameanza kupatikana

Chama cha ACT-Wazalendo, kimesema wanachama wao 18 wanaodaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana, wameanza kuachiliwa huru kwa staili ya kutupwa katika maeneo mbalimbali mjini Unguja.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ACT-Wazalendo wadai wanachama wao waliotoweka wameanza kupatikana

Chama cha ACT-Wazalendo, kimesema wanachama wao 18 wanaodaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana, wameanza kuachiliwa huru kwa staili ya kutupwa katika maeneo mbalimbali mjini Unguja.

Senzo atoa neno sakata lake na Simba

BAADA ya jana mshauri wa klabu ya Yanga, Senzo Mazingisa kuhojiwa na maofisa wa polisi katika kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa masaa yasiyopungua matatu kisha kuachiwa huru, mtaalamu huyo wa masuala ya uongozi wa soka ametoa neno kwa wadau wa soka.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Senzo atoa neno sakata lake na Simba

BAADA ya jana mshauri wa klabu ya Yanga, Senzo Mazingisa kuhojiwa na maofisa wa polisi katika kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa masaa yasiyopungua matatu kisha kuachiwa huru, mtaalamu huyo wa masuala ya uongozi wa soka ametoa neno kwa wadau wa soka.

Wamiliki wa hoteli waombwa kupunguza gharama kuvutia utalii

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Kimanta amewataka wamiliki wa kampuni za utalii na hoteli mkoani Àrusha kupunguza bei ili kuvutia watalii wa ndani kutembelea hifadhi za Taifa.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wamiliki wa hoteli waombwa kupunguza gharama kuvutia utalii

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Kimanta amewataka wamiliki wa kampuni za utalii na hoteli mkoani Àrusha kupunguza bei ili kuvutia watalii wa ndani kutembelea hifadhi za Taifa.

Get more results via ClueGoal