Mwili wa askari aliyedaiwa kuuawa Pemba wapatikana
newsare.net
Askari huyo alipotea Oktoba 28 akiwa na silaha aina ya AK 47Mwili wa askari aliyedaiwa kuuawa Pemba wapatikana
Askari huyo alipotea Oktoba 28 akiwa na silaha aina ya AK 47 Read more
Askari huyo alipotea Oktoba 28 akiwa na silaha aina ya AK 47 Read more
Ataka zisiuzwe na mahakama
Mwenyekiti huyo wa CCM Kata ya Bwagamoyo wilayani Kiteto Mkoam wa Manyara alijimilikisha kiwanja hicho cha CCM tangu mwaka 2015
Amemwambia hayo leo alipomwapisha Ikulu ya Chamwino
Amesema hakuna haraka ya kuteua mawaziri kwa kuwa wengi wana sifa
Amesema hayo leo alipokuwa akitoa neno la shukrani baada ya kuapishwa kuwa Waziri wa Fedha na Mipango
Ni nyakati ambazo Rais John Magufuli alimteua katika nafasi za uongozi pasipo kutarajia
Ni mwandishi wa habari wa kituo kimojawapo cha runinga
Atoa ahadi ya kushughulikia hilo baada ya kuapishwa kuwa Waziri Mkuu katika Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Amesema miaka ya mwanzo wateule walikuwa wakilia lakini sasa wamenyooka na wanachapa kazi
Mashabiki wa ngumi za kulipwa nchini Ijumaa Novemba 13,2020 walishuhudia mapinduzi makubwa katika mchezo wa ngumi za kulipwa kwa kufanyika pambano la kwanza la limataifa kwenye ukumbi wa kisasa wa Next Door Arena, Oysterbay.
Tuzo hizo zitafanyika Texas - Marekani saa 4 usiku kwa saa za nyumbani, huku Tanzania ikiwa na jumla ya washiriki katika vipengele 15.
Rais John Magufuli kesho atamwapisha Waziri Mkuu Kassim Majaliwa katika Ikulu Chamwino jijini Dodoma.
Katibu mkuu wa Wizara ya Maji, Anthony Sanga amesema upungufu wa maji jijini hapa unatokana na ongezeko kubwa la watu kulinganisha na uzalishaji wa huduma hiyo.
Wakati matumaini ya chanjo ya virusi vya corona yakizidi kuongezeka, ugonjwa unaosababishwa na virusi hivyo, sasa umeua zaidi ya watu milioni 1.3, kwa mujibu wa takwimu rasmi zilizokusanywa na AFP.
MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi Simba, Mohammed Dewji amesema kiungo, Clatous Chama amesaini mkataba mpya kusalia klabuni hapo hadi 2022.
Usafiri wa haraka zaidi wa abiria umefanyiwa majaribio kwa mara ya kwanza na kuonyesha mafanikio leo Jumapili katika jangwa la Nevada, ukilenga kusafirisha abiria kwa kasi ya kilometa 1,080 kwa saa.
TRA kufuatilia agizo la Chalamila kuwabaini wafanyabiashara wakwepa kodi kutokana na riba wanazotoza.
Ikiwa tayari inajivunia asili ya Kamala Harris, India sasa imeanza kuchunguza uwezekano wa rais- mteule wa Marekani, Joe Biden kuwa na asili ya nchi hiyo ya barani Asia.
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania imesema mvua kubwa zinazotarajiwa kunyesha katika mikoa minane zinaweza kusababisha mafuriko katika maeneo hayo.
Makombora kutoka Jimbo la Tigray, kaskazini mwa Ethiopia yanadaiwa kutua katika nchi jirani ya Eritrea, wanadiplomasia wamesema, hali inayoashiria kuwa mgogoro huo sasa unavuka mipaka ya nchi.
Klabu ya Waandishi wa Habari ya Kilimanjaro (MECKI) imelitaka Jeshi la polisi kuchunguza kwa weledi sababu za kifo cha mwanahabari wa kituo cha redio cha Kili FM, Benedict Kuzwa ili kuondoa wingu zito lililogubika tukio hilo.
Hotuba ya Rais John Magufuli wakati akizindua Bunge la 12, inaweza kuwa ilijaa maelezo ya kina kuhusu mipango ya Serikali yake katika miaka mitano ijayo, lakini sifa alizoipa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zimepingwa na viongozi wa vyama vya siasa.
Tukio hilo ambalo limeacha simanzi na majonzi makubwa katika Kijiji cha Kyou wilayani hapa Mkoa wa Kilimanjaro, lilitokea saa 7 usiku wa kuamkia jana.
Nyumba ya mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, Fabian Manoza imeteketea kwa moto ambao chanzo chake hakijajulikana.
Kuanzia mwaka 2010 hadi Oktoba, 2020 nchini Tanzania zimetokea ajali za barabarani 142,140 na kusababisha vifo vya watu 32,899 huku 129,064 wakijeruhiwa.
Mkuu wa wilaya ya Geita, Fadhil Juma amewataka wamiliki wa vyuo vya elimu na mafunzo vilivyopo katika wilaya hiyo kutoa elimu ya kumuandaa mhitimu kujiajiri na sio kuajiriwa.
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imesema imefanikiwa kudhibiti Sh12 bilioni ambazo zingelipwa kwa makosa katika mradi wa stendi mpya ya mabasi Dar es Salaam.
Ikilinganishwa na siku mbili za mwanzo za kambi ya kupima magonjwa hayo, leo Jumamosi Novemba 14, 2020 ikiwa ndio kilele, wengi wamefika wakihitaji kujua afya zao hasa wakipima magonjwa ya kisukari, moyo, figo na saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake.
Bondia Fatuma Zarika wa Kenya ametwa ubingwa wa WBF baada ya kushinda kwa pointi ya mpinzani wake Patience Mastara wa Zimbabwe.
Bondia Zulfa Macho ameanza vyema katika ngumi za kulipwa baada ya kushinda kwa pointi dhidi ya Alice Mbwewe wa Zambia.
Baada ya jana timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kupoteza mchezo wa raundi ya tatu kuwania kufuzu kombe la mataifa ya Afika (AFCON) dhidi ya Tunisia Ugenini kwa kufungwa bao 1-0, timu hiyo inatarajia kurejea bongo kujiandaa na mchezo wa marudiano utakaopigwa Novemba 17 dhidi ya Tunisia hao hao.
Chama cha ACT-Wazalendo, kimesema wanachama wao 18 wanaodaiwa kuchukuliwa na watu wasiojulikana, wameanza kuachiliwa huru kwa staili ya kutupwa katika maeneo mbalimbali mjini Unguja.
BAADA ya jana mshauri wa klabu ya Yanga, Senzo Mazingisa kuhojiwa na maofisa wa polisi katika kituo cha Polisi cha Oysterbay kwa masaa yasiyopungua matatu kisha kuachiwa huru, mtaalamu huyo wa masuala ya uongozi wa soka ametoa neno kwa wadau wa soka.
Mmoja wa wauaji wasumbufu nchini Uingereza, Peter Sutcliffe, au “Yorkshire Ripper” amefariki dunia akiwa na miaka 74, Serikali imesema.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Idd Kimanta amewataka wamiliki wa kampuni za utalii na hoteli mkoani Àrusha kupunguza bei ili kuvutia watalii wa ndani kutembelea hifadhi za Taifa.