Tanzania

Kipa Ter Stegen ainusuru Barcelona

Kipa Mjerumani wa Barcelona alifanya kazi ya ziada kuzuia mipira kadhaa ya hatari na kuiwezesha klabu hiyo kushinda mechi yake ya tatu mfululizo katika Ligi ya Mabingwa wa soka Ulaya.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Waangalizi wasema madai ya Trump «yanapoteza imani ya wananchi»

Hadi leo Alhamisi (Novemba 5) mchana, mgombea kutoka chama cha Democratic, Joe Biden alikuwa anaongoza akiwa na kura 264 za uamuzi dhidi ya 214 za Rais Donald Trump, huku mshindi akitakiwa kupata kura 270.

Wanafunzi, mwalimu kizimbani tuhuma za kuchoma moto mabweni

Wanafunzi wawili na mwalimu mmoja wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu mkazi Moshi kwa tuhuma za kuhusika kuchoma moto mabweni ya shule za sekondari Uchira na Ebeneza zilizopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro.

Kumi wajitosa umeya Sumbawanga

Madiwani wateule 10  mkoani Rukwa wamejitosa kuwania nafasi ya kuteuliwa na CCM  kugombea umeya wa halmashauri ya manispaa ya Sumbawanga.

Magufuli: Uchaguzi umekwisha

Rais John Magufuli amesema uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020 umekwisha na sasa kinachotakiwa kufanyika ni kujikita katika masuala ya maendeleo

Museveni azungumzia siri ya kushinda urais

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema si rahisi kwa mgombea urais kuibuka na ushindi katika nchi za Bara la Afrika  bila kuwa mwanachama wa chama cha siasa chenye mwelekeo mzuri.  

Mbowe, Zitto watakiwa tena polisi Novemba 9

Mwenyekiti wa Chadema,  Freeman Mbowe na kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe pamoja na wajumbe watatu wa kamati kuu ya Chadema wametakiwa kuripoti tena kituo cha polisi Oysterbay Novemba 9, 2020.

KKKT yazikumbuka kaya 350 zilizokumbwa na mafuriko

Kaya 350 wilayani Moshi na Hai mkoani Kilimanjaro, zilikumbwa na mafuriko Aprili, mwaka huu hali iliyosababisha kukosa mahala pa kuishi na zilipoteza mali na vyakula vilivyosombwa na maji.

Mwamba Ramos ni balaa kubwa

BEKI wa kati, Sergio Ramos amepiga bao 100 kwenye kikosi cha Real Madrid na mwenyewe anaamini huo ni mwanzo tu wa kuendelea kuvunja rekodi mbalimbali za mabao kwenye maisha yake ya soka.

Mbowe, Zitto na Lema waripoti polisi

Mwenyekiti Chadema Freeman Mbowe na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe pamoja na wajumbe watatu wa kamati kuu wameripoti kituo cha polisi Oysterbay na kutakiwa kuripoti tena kituoni hapo Jumatatu Novemba 9.

KWANINI KINDA WA MAN CITY ALIJIUA?

WIKI iliyopita kada ya soka ilipata masikitiko makubwa kutokana na kifo cha aliyewahi kuwa kinda wa shule ya klabu ya Manchester City, Jeremy Westen kilichosababishwa na yeye mwenyewe kujiua.

Mume amchinja mke hadi kufa, wivu wa mapenzi watajwa

Watu wawili wamefariki dunia mkoani Mara katika matukio mawili tofauti likiwemo la mume kumchinja mke wake kutokana na ugomvi wa kifamilia na kupelekea Jeshi la Polisi mkoani kuwashikilia watu wawili wakihusishwa na mauaji hayo.

Waziri wa zamani afariki dunia

Waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Dk Cyril Chami amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Alhamisi Novemba 5, 2020 katika hospitali ya Benjamini Mkapa mjini Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu.

Simba, Yanga kuna kitu spesho kwa waamuzi?

SIMBA na Yanga ndio kama mlivyosikia. Ile siku ndio inakaribia kwa wababe hawa wa soka la Tanzania kuvaana Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkapa jijini, Dar es Salaam. Ni mechi ya kwanza ya watani wa jadi kwa msimu huu, baada ya kuahirishwa kutoka mwezi uliopita ku
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Simba, Yanga kuna kitu spesho kwa waamuzi?

SIMBA na Yanga ndio kama mlivyosikia. Ile siku ndio inakaribia kwa wababe hawa wa soka la Tanzania kuvaana Jumamosi kwenye Uwanja wa Mkapa jijini, Dar es Salaam. Ni mechi ya kwanza ya watani wa jadi kwa msimu huu, baada ya kuahirishwa kutoka mwezi uliopita kutokana na kuingiliana na matukio mengine muhimu kwa Taifa.

ACT- Wazalendo wajifungia kujadili mchakato wa uchaguzi, hatima ya Mazrui

Chama cha ACT-Wazalendo jana Jumatano Novemba 4, 2020 kimefanya kikao cha kamati kuu kujadili masuala mbalimbali ikiwemo mchakato wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

ACT- Wazalendo wajifungia kujadili mchakato wa uchaguzi, hatima ya Mazrui

Chama cha ACT-Wazalendo jana Jumatano Novemba 4, 2020 kimefanya kikao cha kamati kuu kujadili masuala mbalimbali ikiwemo mchakato wa uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28, 2020.

China inavyoongeza fursa za kiuchumi kilimo cha soya nchini

Watanzania wengi hawajui faida za mafuta ya soya. Yanatumika kuchua wagonjwa hasa waliopoza na kutibu magonjwa mengine. Kwa wajasiriamali, hii ni fursa kwani wakati lita moja ya mafuta ya karanga nayauza kwa Sh10,000 yale ni soya ni Sh35,000
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

China inavyoongeza fursa za kiuchumi kilimo cha soya nchini

Watanzania wengi hawajui faida za mafuta ya soya. Yanatumika kuchua wagonjwa hasa waliopoza na kutibu magonjwa mengine. Kwa wajasiriamali, hii ni fursa kwani wakati lita moja ya mafuta ya karanga nayauza kwa Sh10,000 yale ni soya ni Sh35,000

Madiwani watano kumvaa Mwamfupe umeya Dodoma

Wakati uchukuaji fomu kuwania umeya na uenyekiti wa halmashauri ukihitimishwa leo, madiwani sita wamejitokeza kuwania kiti hicho jijini Dodoma kilichokuwa kinakaliwa na Profesa Davis Mwamfupe.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Madiwani watano kumvaa Mwamfupe umeya Dodoma

Wakati uchukuaji fomu kuwania umeya na uenyekiti wa halmashauri ukihitimishwa leo, madiwani sita wamejitokeza kuwania kiti hicho jijini Dodoma kilichokuwa kinakaliwa na Profesa Davis Mwamfupe.

Simba yatuma salamu Yanga ikiilaza Kagera 2-0

Ushindi ilioupata katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam umekuwa ahueni kwa Simba baada ya kupata matokeo mabaya katika mechi mbili zilizopita ilipofungwa na Ruvu Shooting na Prisons.  
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Simba yatuma salamu Yanga ikiilaza Kagera 2-0

Ushindi ilioupata katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam umekuwa ahueni kwa Simba baada ya kupata matokeo mabaya katika mechi mbili zilizopita ilipofungwa na Ruvu Shooting na Prisons.  

Dk Mwinyi alivyoingia orodha ya watoto walioshika nafasi ya urais kama wazazi wao

Dk Hussein Mwinyi ameshaapishwa kuwa Rais wa Nane wa Zanzibar. Kuonyesha kuwa alikuwa na usongo na kazi, baada ya kuapishwa Jumatatu, Mwinyi alikwenda moja kwa moja Ofisi ya Rais wa Zanzibar, Mnazi Mmoja. Kazi ikaanza papo hapo.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Dk Mwinyi alivyoingia orodha ya watoto walioshika nafasi ya urais kama wazazi wao

Dk Hussein Mwinyi ameshaapishwa kuwa Rais wa Nane wa Zanzibar. Kuonyesha kuwa alikuwa na usongo na kazi, baada ya kuapishwa Jumatatu, Mwinyi alikwenda moja kwa moja Ofisi ya Rais wa Zanzibar, Mnazi Mmoja. Kazi ikaanza papo hapo.

Ofisa Tanesco aliyemkata mkono mkewe afikishwa mahakamani

Mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) jijini Dar es Salaam, Ombeni Mollel (35) amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kutaka kumuua mkewe, mwalimu Veronica Kidemi (34).
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Ofisa Tanesco aliyemkata mkono mkewe afikishwa mahakamani

Mfanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) jijini Dar es Salaam, Ombeni Mollel (35) amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kutaka kumuua mkewe, mwalimu Veronica Kidemi (34).

Kaka yake Wenje kuzikwa Jumamosi

Baada ya kikao cha tathmini ya uchaguzi mkuu kuvamiwa na askari polisi, Wenje aliyekuwa anagombea ubunge Jimbo la Rorya, hajaonekana wala kuwasiliana na ndugu zake wanaojiandaa kumzika ndugu yake.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kaka yake Wenje kuzikwa Jumamosi

Baada ya kikao cha tathmini ya uchaguzi mkuu kuvamiwa na askari polisi, Wenje aliyekuwa anagombea ubunge Jimbo la Rorya, hajaonekana wala kuwasiliana na ndugu zake wanaojiandaa kumzika ndugu yake.

DK Mwinyi ateua wengine wawili

Mwinyi amefanya uteuzi huo siku mbili baada ya kuapishwa kuwa mkuu wa visiwa vya Zanzibar baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

DK Mwinyi ateua wengine wawili

Mwinyi amefanya uteuzi huo siku mbili baada ya kuapishwa kuwa mkuu wa visiwa vya Zanzibar baada ya kuibuka mshindi kwenye uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 28.

Wahamiaji haramu 49 kutoka Ethiopia wakamatwa Tanzania

Watu 49 wanaodaiwa kuingia Tanzania bila utaratibu wakitokea Ethiopia wamekamatwa jana jioni Jumanne Novemba 3, 2020 na jeshi la uhifadhi na Misitu kikosi cha Tanapa katika hifadhi ya Taifa Saadani.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Wahamiaji haramu 49 kutoka Ethiopia wakamatwa Tanzania

Watu 49 wanaodaiwa kuingia Tanzania bila utaratibu wakitokea Ethiopia wamekamatwa jana jioni Jumanne Novemba 3, 2020 na jeshi la uhifadhi na Misitu kikosi cha Tanapa katika hifadhi ya Taifa Saadani.

Manispaa ya Ubungo inajivunia mafanikio kwa kipindi cha miaka mitano ya Rais Magufuli

Ni dhahiri sasa mafanikio yameanza kuonekana kwa kila sekta, kwani Serikali ya Awamu ya Tano imetimiza ahadi zilizoahidiwa kwa wananchi kupitia Ilani ya Uchaguzi ya CCM (2015-2020). Mafanikio hayo ni pamoja na mabadiliko ya hali ya uchumi, utekelezaji wa mira
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Manispaa ya Ubungo inajivunia mafanikio kwa kipindi cha miaka mitano ya Rais Magufuli

Ni dhahiri sasa mafanikio yameanza kuonekana kwa kila sekta, kwani Serikali ya Awamu ya Tano imetimiza ahadi zilizoahidiwa kwa wananchi kupitia Ilani ya Uchaguzi ya CCM (2015-2020). Mafanikio hayo ni pamoja na mabadiliko ya hali ya uchumi, utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimaendeleo na kuongezeka kwa mapato ya ndani.

Biden, Trump wachuana vikali urais Marekani

Matokeo ya awali yanaonyesha kuwa mgombea wa chama cha Democratic, Joe Biden anaongoza dhidi ya rais wa nchi hiyo, Donald Trump anayewania urais kupitia chama cha Republican
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Biden, Trump wachuana vikali urais Marekani

Matokeo ya awali yanaonyesha kuwa mgombea wa chama cha Democratic, Joe Biden anaongoza dhidi ya rais wa nchi hiyo, Donald Trump anayewania urais kupitia chama cha Republican

Kizimbani akidaiwa kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la saba

Wambura Sukuru (34) mkazi wa  Bomani Mugumu wilayani Serengeti amefikishwa katika mahakama ya Hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Serengeti kwa kosa ya kubaka na kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 13.
Mwananchi | Gazeti za Kiswahili linaloongoza TanzaniaMwananchi

Kizimbani akidaiwa kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la saba

Wambura Sukuru (34) mkazi wa  Bomani Mugumu wilayani Serengeti amefikishwa katika mahakama ya Hakimu mkazi mfawidhi wilaya ya Serengeti kwa kosa ya kubaka na kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la saba mwenye umri wa miaka 13.

Get more results via ClueGoal