newsare.net
Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ilala, Zuberi Chembela amesema viongozi wa Chadema wanashikiliwa katika kituo cha polisi Stakishari kwa mahojiano kwa madai ya kufanya vurugu katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam.Viongozi Chadema wahojiwa polisi, wadaiwa kufanya vurugu gerezani
Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ilala, Zuberi Chembela amesema viongozi wa Chadema wanashikiliwa katika kituo cha polisi Stakishari kwa mahojiano kwa madai ya kufanya vurugu katika gereza la Segerea jijini Dar es Salaam. Read more











