newsare.net
Wakati Chadema wakisema wabunge wake watatu wamelazwa hospitali ya Aga Khan baada ya kupigwa na polisi, Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ilala, Zuberi Chembela amesema hakuna mwanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania waliyempiga kwa kuwa hiloWabunge Chadema walazwa Aga Khan, polisi wakanusha kuwapiga
Wakati Chadema wakisema wabunge wake watatu wamelazwa hospitali ya Aga Khan baada ya kupigwa na polisi, Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ilala, Zuberi Chembela amesema hakuna mwanachama wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini Tanzania waliyempiga kwa kuwa hilo si jukumu lao. Read more











