newsare.net
Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania, Zitto Kabwe amesema chama hicho kikipata nafasi ya kuongoza nchi baada ya uchaguzi mkuu wa Oktiba 2020 kitahakikisha uchumi wa nchi unakua kwa asilimia 11 pamoja na kujenga uchumi jumuishi na kuimarisha paItakachokifanya ACT- Wazalendo ikiingia Ikulu 2020
Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania, Zitto Kabwe amesema chama hicho kikipata nafasi ya kuongoza nchi baada ya uchaguzi mkuu wa Oktiba 2020 kitahakikisha uchumi wa nchi unakua kwa asilimia 11 pamoja na kujenga uchumi jumuishi na kuimarisha pato la Mtanzania. Read more











