newsare.net
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa shule zote nchini wahakikishe wanaendelea kutekeleza agizo la Serikali la kudhibiti michango holela kwenye shule zao.Majaliwa awataka wakuu wa shule kuthibiti michango holela
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wakuu wa shule zote nchini wahakikishe wanaendelea kutekeleza agizo la Serikali la kudhibiti michango holela kwenye shule zao. Read more











