newsare.net
Wakati Jeshi la Magereza Tanzania likisema lililazimika kutumia nguvu ya wastani kuwazuia wanachama na viongozi wa Chadema waliokuwa wanataka kuingia katika gereza la Segerea na magari, chama hicho kimedai taarifa hiyo inatetea uovu.Chadema, Magereza wavutana kupigwa kwa kina Halima Mdee
Wakati Jeshi la Magereza Tanzania likisema lililazimika kutumia nguvu ya wastani kuwazuia wanachama na viongozi wa Chadema waliokuwa wanataka kuingia katika gereza la Segerea na magari, chama hicho kimedai taarifa hiyo inatetea uovu. Read more











