newsare.net
NIKUSIMULIE kidogo kuhusu mtu aliyeitwa Mane Garrincha. Mtu ambaye Wabrazil wanaamini alikuwa na kipaji kikubwa kuliko Pele. Mtu ambaye kaburi lake mpaka sasa pale Pau Grande Brazil limeandikwa ‘Hapa amelala mmoja kati ya watu ambaye alikuwa furaha ya watu-NYUMA YA PAZIA: Hakuna cha kushangaza kwa Ronaldinho
NIKUSIMULIE kidogo kuhusu mtu aliyeitwa Mane Garrincha. Mtu ambaye Wabrazil wanaamini alikuwa na kipaji kikubwa kuliko Pele. Mtu ambaye kaburi lake mpaka sasa pale Pau Grande Brazil limeandikwa ‘Hapa amelala mmoja kati ya watu ambaye alikuwa furaha ya watu-Mane Garrincha’. Read more











