newsare.net
Baada ya Rais John Magufuli kumlipia faini Peter Msigwa, mbunge huyo wa Iringa Mjini amesema kitendo hicho kisiwaondoe watu katika hoja ya msingi na kwamba yeye hawezi kununulika “kwa vipande 30” vya fedha.Msimamo wa Msigwa na undugu na Rais Magufuli
Baada ya Rais John Magufuli kumlipia faini Peter Msigwa, mbunge huyo wa Iringa Mjini amesema kitendo hicho kisiwaondoe watu katika hoja ya msingi na kwamba yeye hawezi kununulika “kwa vipande 30” vya fedha. Read more











