newsare.net
Kiongozi wa chama cha ACT -Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo chama hicho kitashinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kitajenga uchumi unaokua kwa asilimia 11 na utakaokuwa jumuishi.Zitto aeleza ACT itakavyoendesha nchi ikishinda uchaguzi mkuu
Kiongozi wa chama cha ACT -Wazalendo, Zitto Kabwe amesema endapo chama hicho kitashinda uchaguzi mkuu wa mwaka huu, kitajenga uchumi unaokua kwa asilimia 11 na utakaokuwa jumuishi. Read more











