newsare.net
SIJAJUA nyota wa sasa wanaokipiga kwenye soka wamekwamia wapi? Wamekumbwa na mdudu gani? Pia hata sijui aliyewaroga! Unajua kwa nini? Wiki chache zijazo panapo majaaliwa, kama Virusi vya Corona, havitazingua kule Cameroon. Zitafanyika Fainali za Sita za MichuUkweli ndivyo ulivyo! Kina Ajibu kuna mahali wanakwama!
SIJAJUA nyota wa sasa wanaokipiga kwenye soka wamekwamia wapi? Wamekumbwa na mdudu gani? Pia hata sijui aliyewaroga! Unajua kwa nini? Wiki chache zijazo panapo majaaliwa, kama Virusi vya Corona, havitazingua kule Cameroon. Zitafanyika Fainali za Sita za Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani, yaani Chan 2020. Read more











