newsare.net
Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ameweka wazi kuwa alijiweka mbali na siasa mwaka 2015 kwa kuwa hakutaka kumpigia kampeni aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa.Profesa Lipumba aeleza alivyojiweka kando na Lowassa 2015
Mwenyekiti wa Chama cha CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ameweka wazi kuwa alijiweka mbali na siasa mwaka 2015 kwa kuwa hakutaka kumpigia kampeni aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya Ukawa, Edward Lowassa. Read more











