newsare.net
Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema mkoa ambao barabara au daraja litakatika Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), atakuwa hana kazi. Ameyazungumza hayo leo wakati akikagua maendeleo ya upanuzi wa barabara nane Mbezi jijini hapa ambazo mkandarRais Magufuli atoa onyo zito kwa mameneja Tanroads
Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema mkoa ambao barabara au daraja litakatika Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), atakuwa hana kazi. Ameyazungumza hayo leo wakati akikagua maendeleo ya upanuzi wa barabara nane Mbezi jijini hapa ambazo mkandarasi alisema zitamalizika Oktoba mwaka huu. Read more











