newsare.net
Bunge la Tanzania limetangaza kuwa wabunge wote waliofanya safari za nje ya nchi kwa siku za karibuni watahitajika kupitia katika zahanati za Bunge kupimwa ili kujiridhisha kama hawana virusi vya ugonjwa wa corona kabla ya kuingia bugeni kuendelea na shughulWabunge wa Tanzania waliosafiri nje ya nchi kupimwa kabla ya kuingia bungeni
Bunge la Tanzania limetangaza kuwa wabunge wote waliofanya safari za nje ya nchi kwa siku za karibuni watahitajika kupitia katika zahanati za Bunge kupimwa ili kujiridhisha kama hawana virusi vya ugonjwa wa corona kabla ya kuingia bugeni kuendelea na shughuli zao. Read more











