newsare.net
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa tarehe 15 Machi 2020, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) walipokea msafiri raia wa Tanzania mwanamke mwenye umri wa miaka 46, ambaye aliwasili na ndege ya Rwanda akitokea nchini Ubelgiji.Jinsi mgonjwa wa corona alivyoingia Tanzania hadi akagundulika
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa tarehe 15 Machi 2020, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) walipokea msafiri raia wa Tanzania mwanamke mwenye umri wa miaka 46, ambaye aliwasili na ndege ya Rwanda akitokea nchini Ubelgiji. Read more











