newsare.net
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametangaza kusimamishwa kwa shughuli zote za kimichezo zinazokusanya watu wengi ikiwamo Ligi kuu Tanzania bara kwa siku 30 ikiwa ni hatua ya kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona vinavyosambaa kwa kasi duniani.VIDEO: Ligi Kuu Tanzania yapigwa ‘STOP’ kwa mwezi mmoja, kisa Corona
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametangaza kusimamishwa kwa shughuli zote za kimichezo zinazokusanya watu wengi ikiwamo Ligi kuu Tanzania bara kwa siku 30 ikiwa ni hatua ya kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona vinavyosambaa kwa kasi duniani. Read more











