newsare.net
Mwenyekiti mpya wa chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Nassoro Ahmed Mazrui na Joran Bashange wamechaguliwa kuwa manaibu katibu wakuu wa chama hicho Tanzania Bara na Zanzibar.ACT- Wazalendo yawachagua Mazrui, Bashange naibu katibu wakuu
Mwenyekiti mpya wa chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Nassoro Ahmed Mazrui na Joran Bashange wamechaguliwa kuwa manaibu katibu wakuu wa chama hicho Tanzania Bara na Zanzibar. Read more











