newsare.net
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imefunga shule zote kuanzia za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30 kuanzia leo Jumanne Machi 17, 2020.MPYA: Tanzania shule zafungwa kwa siku 30 kisa Corona-VIDEO
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imefunga shule zote kuanzia za awali hadi kidato cha sita kwa siku 30 kuanzia leo Jumanne Machi 17, 2020. Read more











