newsare.net
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuvunja kambi ya timu ya Taifa Tanzania iliyokuwa ikijiandaa na mashindano ya CHAN muda mfupi baada ya CAF kusitisha michuano hiyo kwa muda usiojulikana.VIDEO: Taifa Stars yavunja kambi, CAF yaahirisha CHAN 2020
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetangaza kuvunja kambi ya timu ya Taifa Tanzania iliyokuwa ikijiandaa na mashindano ya CHAN muda mfupi baada ya CAF kusitisha michuano hiyo kwa muda usiojulikana. Read more











