newsare.net
Kesi ya jinai inayowakabili wabunge wa Chadema na wenzao watano mkoani Morogoro imepigwa kalenda baada ya wakili wa jamhuri kuieleza mahakama kuwa kesi hiyo isogezwe mbele hadi Aprili 16, 2020 kwa ajili ya kusikilizwa wakati ikijiandaa kupeleka mashahidi.Kesi ya wabunge wa Chadema yapigwa kalenda
Kesi ya jinai inayowakabili wabunge wa Chadema na wenzao watano mkoani Morogoro imepigwa kalenda baada ya wakili wa jamhuri kuieleza mahakama kuwa kesi hiyo isogezwe mbele hadi Aprili 16, 2020 kwa ajili ya kusikilizwa wakati ikijiandaa kupeleka mashahidi. Read more











