newsare.net
Kesi ya uharibifu wa mali inayomkabili mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Platnumz', imeahirishwa leo Machi 18, 2020 hadi Machi 30, 2020 baada ya mmoja wa wazee wa Baraza kupata udhuru.Kesi ya Diamond Platnumz yapigwa kalenda hadi Machi 30
Kesi ya uharibifu wa mali inayomkabili mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Platnumz', imeahirishwa leo Machi 18, 2020 hadi Machi 30, 2020 baada ya mmoja wa wazee wa Baraza kupata udhuru. Read more











