newsare.net
Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya kusini mwa Afrika(Sadc), akishauri mapendekezo ya mkutano yaweke misingi ya kuondoa changamoto za utekelezaji wa malengo yatokanayo na mkataMajaliwa atoa neno baraza la mawaziri Sadc
Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amefungua Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Nchi 16 za Jumuiya ya Maendeleo ya kusini mwa Afrika(Sadc), akishauri mapendekezo ya mkutano yaweke misingi ya kuondoa changamoto za utekelezaji wa malengo yatokanayo na mkataba wa uanzishwaji wake 1992. Read more











