newsare.net
Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Jumuiya Maendeleo ya kusini mwa Afrika (Sadc), Dk Stergomena Tax amesema nchi tatu za jumuiya hiyo bado hazijaridhia makubaliano ya soko la pamoja hatua inayochelewesha mpango wa kikanda na Afrika.Dk Stergomena: Nchi tatu zinasuasua kuridhia soko la pamoja Sadc
Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Jumuiya Maendeleo ya kusini mwa Afrika (Sadc), Dk Stergomena Tax amesema nchi tatu za jumuiya hiyo bado hazijaridhia makubaliano ya soko la pamoja hatua inayochelewesha mpango wa kikanda na Afrika. Read more











