newsare.net
Benki Kuu ya Tanzania leo Machi 19, 2020 imewatoa hofu wananchi kuhusiana na maambukizi ya virusi vya corona kupitia noti za pesa, ikisema kuwa noti hizo zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti.Benki Kuu yawatoa hofu wananchi kuhusu maambukizi ya corona katika noti za pesa
Benki Kuu ya Tanzania leo Machi 19, 2020 imewatoa hofu wananchi kuhusiana na maambukizi ya virusi vya corona kupitia noti za pesa, ikisema kuwa noti hizo zimetengenezwa kwa namna ambayo zinaweza kuzuia vimelea kusalia kwenye noti. Read more











