newsare.net
Demokrasia ndani ya vyama vya siasa imekuwa sawa na maudhui kwenye mashairi ya nyimbo. Mwanamuziki anaimba mapenzi ya mfano wa kuigwa, lakini ya kwake yanamshinda. Analia mapenzi yasiyo na uaminifu, maisha ya kawaida yeye sio mwaminifu. Vyama vya siasa, hasaMAKALA YA MALOTO: ACT ni wana demokrasia au wanafanya maigizo?
Demokrasia ndani ya vyama vya siasa imekuwa sawa na maudhui kwenye mashairi ya nyimbo. Mwanamuziki anaimba mapenzi ya mfano wa kuigwa, lakini ya kwake yanamshinda. Analia mapenzi yasiyo na uaminifu, maisha ya kawaida yeye sio mwaminifu. Vyama vya siasa, hasa vile vinavyosaka fursa ya kuongoza dola, kilio chao kikubwa ni demokrasia. Kwamba vinakandamizwa na chama kinachoshika dola na kusababisha uwanja wa ufanyaji siasa usiwe tambarare. Read more











