newsare.net
Mamlaka za Afrika Kusini zimesema zitajenga uzio wa kilomita 40 kwenye mpaka wake na Zimbabwe ili kuzuia wahamiaji haramu kuingia nchini humo pamoja na kuenea kwa virusi vya corona.Afrika Kusini kujenga uzio katika mpaka wake na Zimbabwe
Mamlaka za Afrika Kusini zimesema zitajenga uzio wa kilomita 40 kwenye mpaka wake na Zimbabwe ili kuzuia wahamiaji haramu kuingia nchini humo pamoja na kuenea kwa virusi vya corona. Read more











