newsare.net
Dereva wa Basi la Isamilo linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Mbeya nchini Tanzania Sebastian Mathias (43) mkazi wa Mwanza amefariki dunia wakati akiendelea na safari kutoka Mbeya kwenda Mwanza.Dereva basi la Isamilo afariki akiwa safarini
Dereva wa Basi la Isamilo linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Mbeya nchini Tanzania Sebastian Mathias (43) mkazi wa Mwanza amefariki dunia wakati akiendelea na safari kutoka Mbeya kwenda Mwanza. Read more











