newsare.net
Ilikuwa kama sinema vile wakati wa mazishi ya bibi kizee, Veronica Marealle (105) baada ya mkuu wa mkoa Kilimanjaro, Anna Mghwira kuzuia, lakini ndugu wakaamua kuzika kama walivyopanga.MZOZO MSIBANI: Mazishi mke wa Mangi Marealle II yageuka sinema
Ilikuwa kama sinema vile wakati wa mazishi ya bibi kizee, Veronica Marealle (105) baada ya mkuu wa mkoa Kilimanjaro, Anna Mghwira kuzuia, lakini ndugu wakaamua kuzika kama walivyopanga. Read more











