newsare.net
Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema kati ya watu 20 waliopimwa leo Jumapili Machi 22, 2020 wamekutwa hawana virusi vya corona ikiwa ni pamoja na mtanzania wa kwanza kukutwa na virusi hivyo mkoani Arusha Isabella MwampambaVIDEO: Mtanzania wa kwanza kupata corona sasa hana virusi hivyo
Rais wa Tanzania, John Magufuli amesema kati ya watu 20 waliopimwa leo Jumapili Machi 22, 2020 wamekutwa hawana virusi vya corona ikiwa ni pamoja na mtanzania wa kwanza kukutwa na virusi hivyo mkoani Arusha Isabella Mwampamba Read more











