newsare.net
Maji ni kimiminika muhimu na kiini cha uhai wa viumbe hai wote duniani. Hakuna kiumbe hai anayeweza kuishi bila maji, hata miili ya wanyama na mimea pia kwa kiasi kikubwa ni maji. Katika dunia, maji yamechukua karibu robo tatu ya eneo lake lote, kwa hiyo majChuo cha Maji kinaandaa wataalamu wa maji kwa ajili ya ustawi wa Taifa
Maji ni kimiminika muhimu na kiini cha uhai wa viumbe hai wote duniani. Hakuna kiumbe hai anayeweza kuishi bila maji, hata miili ya wanyama na mimea pia kwa kiasi kikubwa ni maji. Katika dunia, maji yamechukua karibu robo tatu ya eneo lake lote, kwa hiyo maji ni kitu cha msingi sana. Read more











