newsare.net
Tanga ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania bara ambao uko Kaskazini Mashariki mwa nchi. Mkoa huu unapakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari ya Hindi upande wa Mashariki na mikoa ya Morogoro, Manyara na Kilimanjaro upande wa Magharibi. Upande wa Kusini unapakanMikakati ya Tanga UWASA katika kuboresha huduma za maji
Tanga ni kati ya mikoa 31 ya Tanzania bara ambao uko Kaskazini Mashariki mwa nchi. Mkoa huu unapakana na Kenya upande wa Kaskazini, Bahari ya Hindi upande wa Mashariki na mikoa ya Morogoro, Manyara na Kilimanjaro upande wa Magharibi. Upande wa Kusini unapakana na Mkoa wa Pwani. Read more











