newsare.net
Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) limesitisha safari tatu za kimataifa na kufanya jumla ya safari zilizositishwa tangu kuibuka kwa ugonjwa wa corona kufikia nne baada ya leo Jumatatu Machi 23, 2020 kufuta safari za comoro.ATCL yasitisha safari ya nne ya kimataifa kwa sababu ya corona
Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) limesitisha safari tatu za kimataifa na kufanya jumla ya safari zilizositishwa tangu kuibuka kwa ugonjwa wa corona kufikia nne baada ya leo Jumatatu Machi 23, 2020 kufuta safari za comoro. Read more











