newsare.net
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi amesema atawasamehe wafanyabiashara waliokamatwa kwa kosa la kuongeza bei za visafisha mikono ‘sanitizer’ endapo bidhaa hizo watazigawa kwa watoto yatima.Wanaodaiwa kupandisha bei ya ‘sanitizer’ wabanwa
Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Patrobas Katambi amesema atawasamehe wafanyabiashara waliokamatwa kwa kosa la kuongeza bei za visafisha mikono ‘sanitizer’ endapo bidhaa hizo watazigawa kwa watoto yatima. Read more











