newsare.net
Taasisi ya Ubongo Kids imesema inaungana na serikali pamoja na wazazi na walezi kwa kuanzisha kutoa mafunzo kwa njia ya kidigitali kwa watoto kuendelea kujifunza nyumbani wakati shule zimefungwa kutokana uwepo wa virusi vya corona.Ubongo kids kutoa mafunzo kwa watoto kidigitali
Taasisi ya Ubongo Kids imesema inaungana na serikali pamoja na wazazi na walezi kwa kuanzisha kutoa mafunzo kwa njia ya kidigitali kwa watoto kuendelea kujifunza nyumbani wakati shule zimefungwa kutokana uwepo wa virusi vya corona. Read more











