newsare.net
Matukio ya ukatili kwa jamii ya wafugaji dhidi ya watoto wilayani hapa mkoani Manyara yamezidi kukithiri, baada ya mtoto wa miaka 10 mkazi wa kijiji cha Seki kata ya Partimbo kuozeshwa na wazazi wake kwa mahari ya Sh10,000.Mtoto wa miaka 10 aozeshwa Tanzania
Matukio ya ukatili kwa jamii ya wafugaji dhidi ya watoto wilayani hapa mkoani Manyara yamezidi kukithiri, baada ya mtoto wa miaka 10 mkazi wa kijiji cha Seki kata ya Partimbo kuozeshwa na wazazi wake kwa mahari ya Sh10,000. Read more











