newsare.net
Mtu mmoja nchini Marekani amefunguliwa mashitaka ya kutoa tishio la ugaidi baada ya kudaiwa kujirekodi akilamba vitu vilivyokuwa vinauzwa katika duka kubwa (supermarket) huku akisema “Nani anaogopa corona?”Ashitakiwa kwa ugaidi baada ya kulamba vitu dukani kudhihaki corona
Mtu mmoja nchini Marekani amefunguliwa mashitaka ya kutoa tishio la ugaidi baada ya kudaiwa kujirekodi akilamba vitu vilivyokuwa vinauzwa katika duka kubwa (supermarket) huku akisema “Nani anaogopa corona?” Read more











