newsare.net
Nyota wa zamani wa Brazil, Cafu amesema kutokana na uwezo alionao mshambuliaji wa PSG, Neymar, «hata Messi angekuwa nyuma yake» kutokana na ufundi wake.Kwa Neymar, Messi anakaa, asema Cafu
Nyota wa zamani wa Brazil, Cafu amesema kutokana na uwezo alionao mshambuliaji wa PSG, Neymar, «hata Messi angekuwa nyuma yake» kutokana na ufundi wake. Read more











