newsare.net
Sarah Nestory (20) mkazi wa kitongoji cha mission wilayani Sengerema Mkoa Mwanza nchini Tanzania aliyetoweka nyumbani siku saba zilizopita, mwili wake umekutwa kichakani umeharibika vibaya.Aliyetoweka nyumbani, mwili wake wakutwa hauna kichwa, miguu na mikono
Sarah Nestory (20) mkazi wa kitongoji cha mission wilayani Sengerema Mkoa Mwanza nchini Tanzania aliyetoweka nyumbani siku saba zilizopita, mwili wake umekutwa kichakani umeharibika vibaya. Read more











