newsare.net
Watendaji zaidi ya 170 wa idara ya maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania wamepewa elimu juu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona ili wawafikishie wananchi na wafanyabiashara wadogo wanaopatikana katika mitaa nWatendaji idara ya maendeleo Dar wapewa somo la corona
Watendaji zaidi ya 170 wa idara ya maendeleo ya jamii na ustawi wa jamii Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania wamepewa elimu juu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona ili wawafikishie wananchi na wafanyabiashara wadogo wanaopatikana katika mitaa na wilaya zao. Read more











