newsare.net
Lazaro Sokoine, mtoto wa kwanza wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Moringe Sokoine aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili atazikwa Jumanne nyumbani kwake Monduli Juu mkoani Arusha.Mtoto wa kwanza wa Sokoine kuzikwa Jumanne Monduli Juu
Lazaro Sokoine, mtoto wa kwanza wa Waziri Mkuu wa zamani Edward Moringe Sokoine aliyefariki dunia jana katika Hospitali ya Taifa Muhimbili atazikwa Jumanne nyumbani kwake Monduli Juu mkoani Arusha. Read more











