newsare.net
Ikiwa zimebaki siku 11 kuanza maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka duniani, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa utaratibu wa jinsi ibada zitakavyoendeshwa katika wiki ya mwisho ili kuwakinga waumini na maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya corona (CoKanisa Katoliki latoa mwongozo wa Pasaka
Ikiwa zimebaki siku 11 kuanza maadhimisho ya Sikukuu ya Pasaka duniani, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limetoa utaratibu wa jinsi ibada zitakavyoendeshwa katika wiki ya mwisho ili kuwakinga waumini na maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya corona (Covid-19). Read more











