newsare.net
Watu tisa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuunganishwa katika kesi ya viongozi na wafuasi 15 wa Chadema wanaokabiliwa mashitaka saba likiwemo la kukaidi amri halali, kutoa lugha ya maudhi na kuharibu geti la gereza la Segerea.Tisa waunganishwa kesi ya kina Halima Mdee
Watu tisa wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kuunganishwa katika kesi ya viongozi na wafuasi 15 wa Chadema wanaokabiliwa mashitaka saba likiwemo la kukaidi amri halali, kutoa lugha ya maudhi na kuharibu geti la gereza la Segerea. Read more











