newsare.net
Mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali amehoji hatma ya jimbo hilo baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kufanya marekebisho ya jina na mipaka ya iliyokuwa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi na kuanzisha Halmashauri mpya ya Mtama inayojumuisha eneo lote la jimMbunge CUF ahoji hatima ya jimbo lake
Mbunge wa Mchinga (CUF), Hamidu Bobali amehoji hatma ya jimbo hilo baada ya Rais wa Tanzania, John Magufuli kufanya marekebisho ya jina na mipaka ya iliyokuwa Halmashauri ya Wilaya ya Lindi na kuanzisha Halmashauri mpya ya Mtama inayojumuisha eneo lote la jimbo la Mtama. Read more











