newsare.net
Askari wa Jeshi la Polisi na watumishi wawili idara ya ardhi halmashauri ya wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara nchini Tanzania wamelazwa hospitali ya wilaya ya Tarime mkoani humo baada ya kushambuliwa kwa silaha za jadi na wananchi.Wananchi Tarime wadaiwa kuwashambulia polisi, watumishi kwa mawe, mishale
Askari wa Jeshi la Polisi na watumishi wawili idara ya ardhi halmashauri ya wilaya ya Tarime Mkoa wa Mara nchini Tanzania wamelazwa hospitali ya wilaya ya Tarime mkoani humo baada ya kushambuliwa kwa silaha za jadi na wananchi. Read more











