newsare.net
Naibu waziri wa mambo ya ndani nchini Tanzania, Hamad Masauni amewaagiza makamanda wa polisi nchini humo (RPC), kuhakikisha wanawapa dhamana mahabusu waliokidhi vigezo ili kuondoa msongamano katika vituo hivyo.Kisa corona, Ma RPC na RPO watakiwa kuwapa dhamana mahabusu
Naibu waziri wa mambo ya ndani nchini Tanzania, Hamad Masauni amewaagiza makamanda wa polisi nchini humo (RPC), kuhakikisha wanawapa dhamana mahabusu waliokidhi vigezo ili kuondoa msongamano katika vituo hivyo. Read more











